FILAMU YA MAGWANGALA YAKWAMA KUZINDULIWA GEITA

Anastazia wambura

Mhe. Wambura Naibu Waziri Wizara ya Habari utamaduni sanaa na Michezo

FILAMU ya Magwangala iliyotarajia kuzinduliwa baada ya kukamilika imekwama kuzinduliwa baada ya kutoke mvutano kati ya watayarishaji na uongozi wa kampuni ya madini ya (GGM) Geita, sinema hiyo ilikuwa izinduliwe na naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura.
(more…)

filed under: Habari

SIJAMPIGA DONGO WOLPER AKU RAHA YA SERENGETI NAIJUA MIMI- NISHA

Salma Jabu

Nisha muiogizaji wa filamu swahilihood.

src=”http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/Nisha-2-CUT.jpg” alt=”Salma Jabu” width=”532″ height=”236″ class=”size-full wp-image-8564″ /> Nisha muiogizaji wa filamu swahilihood.[/caption]NYOTA wa filamu Bongo Salma Jabu ‘Nisha’ amesikitishwa na baadhi ya watu ambao wanajaribu kumtengenezea ugomvi na msanii mwezake wa kike Jack Wolper kwa kutafsiri ujumbe wake alioposti katika ukurasa wake kama ilikuwa ni dongo akimpiga msanii mwezake.
(more…)

filed under: Habari

JOHARI AWAMWAGIA SIFA BONGO MOVIE NIGHT

Blandina Chagula

Johari m,wigizaji wa Filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu Swahilihood Blandina Chagula ‘Johari’ amewamwagia sifa na pongezi waandaaji wa Bongo Movie Night kwa kuanzisha onyesho la filamu za ndani ambazo kuna wakati zinatoka na kuishia katika Dvd tu kwa ajili ya matumizi nyumbani tu.
(more…)

filed under: Habari

SITAKI STORY NA WANAUME NI KAZI TU- LINAH

Khadij Said

Linah mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa kike katika tasnia ya filamu Bongo Khadija Said ‘Linah’ anasema kuwa kulingana na muonekano wake hababaiki tena na wanaume kwani mara nyingi nyimbo zao ni zile zile hakuna kitu kipya hivyo hataki kabisa habari na wanaume, mwanaume wake ni kuigiza tu.
(more…)

filed under: Habari

SIZAI HADI NDOA KWANZA- DR. SANDRA WA SIRI ZA FAMILIA

Mwajabu Omary

Dr. sandra mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MWAJABU Omary ‘Dr. Sandra’ mwigizaji anayetamba katika tamthilia ya Siri za familia amefunguka kwa kusema kuwa pamoja na kuwa na mchumba wake zaidi ya miaka mitano katika mahusiano lakini hawezi kumzalia watoto hadi akimuoa na kufunga ndoa.
(more…)

filed under: Habari

UMRI WANGU NI WA KUKIMBIA NITAWAKIMBIZA SANA- IBRAH

Ibrahim Osward

Ibrah muigizaji wa filamu Swahilihood

MUIGIZAJI bora wa kiume wa filamu katika tamasha la filamu Zanzibar International Film Festival (ZIFF) Ibrahim Osward ‘Ibrah’ kupitia filamu ya Tunu ametamba kuwa ana nafasi kubwa sana kuzoa tuzo nyingi kulingana na umri wake mdogo kwani wote waliowahi kuchukua tuzo hiyo hawakuwa na umri kama wake.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA INNER STRUGGLE KURUKA ZIFF, KUGAIWA BURE

Eva Lundgren

Eva Lundgren mtayarishaji wa Filamu Swahilihood

FILAMU ya The Inner struggle inatarajia kuonyeshwa katika tamasha kubwa la filamu Afrika ya Mashariki la Zanzibar International Film Festival (ZIFF) sinema hiyo ambayo imetengenezwa hapa nchini ikielezea maisha ya watu wenye ulemavu wa Ngozi (Albinisim).
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA NYAMA YA ULIMI KURUKA BONGO MOVIE NIGHT SINEMA 29.JUNE.2017!

bongo movie night

Bongo Movie Night kuja Alhamisi hii

LILE onyesho kubwa na la kipekee kufanyika Swahilihood la Bongo Movie Night linalofanyika siku ya Alhamisi tarehe 29. June. 2017 katika ukumbi wa BASATA Ilala Shariff shamba litarusha sinema ya Nyama ya Ulimi kutoka Mkoani Shinyanga iliyotayarishwa na Songoro Gadaff
. (more…)

filed under: Habari

IRENE UWOYA AFUTURISHA KISTAA FUTARI DRAFT LAKE SI MCHEZO!

Irene Uwoya, Idrisa Makupa

Idrisa akiwa na Irene Uwoya wasanii wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI nyota katika tasnia ya filamu wiki iliyopita aliwakaribisha mastaa wa Bongo movie na Bongo fleva katika futari nyumbani kwake chungu cha 28 na kujumuika nao pamoja katika futari hiyo ya kiwango ambayo imefurahiwa na wageni waalikwa ambao ni wasanii wenzake.
(more…)

filed under: Habari

WAKONTA ATUNUKIWA UANACHAMA CHAMA CHA TASA LEO!

Wakonta kapunda

Wakonta mwandishi wa muswada Swahilihood.

MWANADISHI wa muswada Tanzania mwenye kipaji cha kipekee nchini Wakonta Kapunda ametunukiwa uanachama katika chama waandishi wa muswada (TASA) leo nyumbani kwao Mbezi Louis na kuwa ni mwanachama katika chama hicho kuanzia leo, aliyemkabidhi ni mwenyekiti Ahmad Hussein.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook