USAILI FILAMU YA INJINIA MOTO.

Jaqueline Wolper

Jack Wolper mwigizaji wa filamu Swahiliwood.

FILAMU ya aina yake ya Injinia inayotarajia kuanza kutengenezwa kutoka Swahiliwood imeingia katika hatua nyingine baada ya usaili wa kwanza kwenda vizuri kwa kuwapata wahusika watakaoshiriki katika filamu hiyo, filamu inayotabiriwa kuwa na mapinduzi makubwa kutokana na maandalizi yake huku suala la taaluma na nafasi kwa wahusika zikizingatiwa.

(more…)

filed under: Habari

TAMASHA LA FILAMU LA WAZI KUFANYIKA TANGA JUNI 2012.

Grand Malt

Tamasha la filamu la Grand Malt (TOFF) kufanyika juni 30 2012

TAMASHA kubwa la filamu la wazi Swahiliwood linatarajiwa kuanza mwezi wa sita tarehe 3o mwaka huu, tamasha hilo linajulikana kwa jina la Grand Malt Tanzania open Film Festival (TOFF) tamasha hilo litafanyika jijini Tanga katika viwanja vya Tangamano na litadumu kwa muda wa siku saba, na kwa kila siku zitaonyeshwa filamu tatu.
(more…)

filed under: Habari

YAKUTI NA SELLES MAPUNDA NANI MWIZI WA BEST LOOSERS?!.

Ali Yakuti

Ali Yakuti mwandishi mahiri wa muswada Swahiliwood.

WAKATI Tasnia ya filamu ikizidi kukua na kujizolea mashabiki wadau wa tasnia hiyo Swahiliwood wamezidi kukumbana na vioja kila siku, hivi karibuni kumekuwa na mkangang’oko kwa watayarishaji kujikuta wakitoa filamu zikiwa na jina moja lakini filamu tofauti, hilo limetokea baada ya Mtunzi mahiri wa filamu Swahiliwood Ali Yakuti akigombea jina la filamu yake na Mtayarishaji na Muongozaji wa filamu Selles Mapunda.
(more…)

filed under: Habari

MAMA KANUMBA KUIGIZA FILAMU KAMA NERIA.

Frola Mtegoa

Mama mzazi wa Marehemu Kanumba anayetarajia kuigiza filamu Swahiliwood.

MAMA mzazi wa mwigizaji nyota swahiliwood Marehemu Steven Kanumba ‘Kanumba The Great’ Frola Mtegoa amesema kuwa yupo mbioni kuandaa filamu kali na ya kusisimua na mhusika mkuu atakuwa yeye mwenyewe na kuwashirikisha wasanii wengine wakali akiwa mwanaye mwingine Seth Bosco, filamu hiyo inakuja kutoka na mkasa wa marehemu mwanaye Kanumba.
(more…)

filed under: Habari

RAY THE GREATEST AWAONYA WASANII.

Vincent Kigosi

Ray the Greatest Mtayarishaji na Muongozaji wa filamu Swahiliwood.

MTAYARISHAJI na Muongozaji wa filamu Swahiliwood Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amewataka wasanii wenzake kufanya sana kazi na kuepukana na majungu au kulaumiana katika vyombo vya habari jambo ambalo yeye anaona linachelewesha maendeleo katika tasnia ya filamu kwani wasanii wamekuwa wakiripotiwa wakilumbana bila sababu ya msingi. KWA HABARI ZAIDI ENDELEA NDANI….
(more…)

filed under: Habari

WAVAA VIBAYA SI WASANII PEKEE- JACK WOLPER .

Jaqueline Wolper Massawe

Jack Wolper msanii wa filamu Swahilliwood anayekimbiza sokoni.

MSANII nyota wa filamu Swahiliwood Jaqueline Wolper Massawe ‘Jack’ anasema kuwa suala la mavazi mara nyingi utegemea tukio au sehemu husika tofauti na watu wanavyofikiria kuwa unapomwona msanii huyo katika mavazi fulani ndio wanajua ni mavazi yake halisi, na kulalamika kama wasanii ndio wanaovaa vibaya katika jamii HABARI NA PICHA ENDELEA NDANI…..
(more…)

filed under: Habari

NKWABI JUMA AWAPA SHAVU WASANII CHIPUKIZI.

Nkwabi Juma

Nkwabi msanii wa filamu na tamthilia kutoka Swahiliwood.

MSANII wa filamu katika tasnia ya filamu Swahiliwood Nkwabi Juma Jumapili iliyopita alifanya usaili kwa kuchagua wasanii, watayarishaji, waongozaji wa filamu pamoja na wapiga picha wanaotarajia kushiriki katika filamu fupi fupi zitakazojulikana kwa jina la Kiduchu Films filamu hizo zitakuwa zikirushwa kupitia Televisheni ya Clouds Tv.
(more…)

filed under: Habari

KIPEMBA KURUDI KATIKA FILAMU.

Issa Kipemba

Kipemba msanii mahiri wa filamu Swahiliwood anakuja na filamu ya Injinia.

MWIGIZAJI na Mchekeshaji wa filamu Swahiliwood Issa Kipemba anarudi katika tasnia ya filamu kwa nguvu baada kukaa muda mrefu bila kurekodi wala kujishughulisha na kazi za filamu kwa muda mrefu, Kipemba anasema kuwa kwa muda huo alikuwa akifanya utafiti kuhusu filamu na sasa amepata jibu kwa ajili ya kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu hapa Swahiliwood.
(more…)

filed under: Habari

BARAFU KUJA NA FILAMU KALI YA LAURA.

Suleima Barafu

Barafu Mtayarishaji, Mwigizaji, na Muogozaji wa filamu Swahiliwood.

MWIGIZAJI na Muongozaji wa filamu mahiri kutoka Swahiliwood Suleiman Said Abdallah ‘Barafu’ amejifungia kambini akirekodi filamu kali nay a kusisimua, akiongea kutoka mafichoni Barafu kasema kuwa baada ya kukamilika maandalizi na kuipitia vizuri muswada wa filamu yake hiyo mpya inayojulikana kwa jina la Laura, kazi ilikuwa kubwa sana kuwapata wasanii wanaoendana na hadithi hiyo.
(more…)

filed under: Habari

WEMA SEPETU NYOTA ING’ARISHAYO WASANII BONGO.

Wema Abraham Sepetu

Wema Sepetu msanii wa filamu Swahiliwood msanii mwenye mvuto mkali.

UNAPOONGELEA Wasanii wenye matukio na visa katika tasnia ya filamu Swahiliwood jina la Wema Sepetu si geni kwa kila mdau na mpenda sanaa kwa ujumla wake msanii huyu nyota yake ilianza kung’ara mwaka 2006 pale alipochaguliwa kama Miss Tanzania, hivi sasa mwanadada huyo amezidi kung’ara zaidi KWA HABARI NA PICHA ZAIDI ENDELEA……..
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook