WADAU WA SEKTA YA FILAMU MKOANI SONGWE ANDAENI FILAMU ZA KIUTAMADUNI

Wadau wa filamu Vwawa Songwe

Wadau wa filamu wa Vwawa katika semina Mkoani Songwe

Na Anitha Jonas – Vwawa,Mbozi
Songwe
Wadau wa sekta ya Filamu Mkoa wa Songwe waelezwa kutumia fursa zilizoko Mkoani hapo ikiwemo uwepo wa maeneo mazuri ya asili naya kiutamaduni kwa ajili ya kuandaa filamu za Kiutamaduni.
(more…)

filed under: Habari

DR. ALMASI ANAIMBA HIP HOP HAJALI UMRI WAKE!

Steven Almasi

Dr. Almasi mwigizaji wa filamu Swahilihood

MWIGIZAJI wa filamu Bongo Steven Almasi maarufu kama Dr. Almasi anatamba kuwa pamoja na kuwa ni msanii mwenye umri mkubwa ameamua kuonyesha kipaji chake kingine cha uimbaji kwa kuimba muziki wa kizazi kipya na kufanikiwa kurekodi nyimbo kadhaa hadi sasa na kuwaduwaza mashabiki.
(more…)

filed under: Habari

BODI YA FILAMU KUWAFUATA WASANII MIKOANI KUWAJENGE UWEZO

Christa Komba akipokea Cheti Bi. Mlawi

Mwalimu Christa Komba akipokea Cheti Bi. Mlawi

WARSHA kubwa iliyoandaliwa na Bodi ya filamu na michezo ya kuigiza imefanikiwa kufanyika Babati Mkoani Manyara kwa kuwashirikisha wasanii ambao walipongeza uwepo mafunzo hayo ambayo yanafungua njia mpya katika ukuaji wa tasnia ya filamu Tanzania.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU 17 ZA BONGO MOVIE KURUKA ZIFF 2018

ZIFF 2018

Tamasha la filamu ZIFF 2018

TAMASHA kubwa la filamu Afrika Zanzibar International Film Festival (ZIFF 2018) limetoa filamu ambazo zitashirikishwa katika tamasha hilo kubwa la filamu kufanyika Afrika, katika uchaguzi wa filamu hizo zaidi ya filamu 17 za kiswahili zitaonyeshwa katika tamasha hilo kubwa la filamu mwaka huu.
(more…)

filed under: Habari

SIKU HIZI NI KAZI SI SURA TENA WAKONGWE FANYENI KAZI- DUMA

Daud Michael

Duma mwigizaji wa filamu Swahilihood

SIKU za nyuma tulizoea kusikia wasanii wa Taarab wakirushiana vijembe lakini siku hizi hata huku kwetu katika tasnia ya filamu mambo yameiva, mwigizaji Daud Michael ‘Duma’ anasema kuwa soko la sasa la filamu halihitaji umaarufu au ukongwe zaidi ya uigizaji bora.
(more…)

filed under: Habari

NAFURAHIA KAZI ZA MIKONO YANGU – SHILOLE

Zuwena mohamed

Shilole Mwigizaji wa filamu na mwanamuziki

ZUWENA Mohamed ‘Shilole’ anasema anafurahia kutengeneza fedha kwa mikono yake mwenyewe na hapendi kukata tamaa kwa kile chochote ambacho ukianzisha kwa ajili ya kujiongezea kipato hivyo si rahisi sana kudumaaa katika aina moja ya biashara na kujikuta akifanya kazi kulingana na mahitaji.
(more…)

filed under: Habari

SIDE WA KITONGA ASHIKWA PABAYA KITAANI

Said Mbelemba

Side mchekeshaji wa Sise wa Kitonga

MCHEKESHAJI Nyota katika kipindi cha Side wa Kitonga Said Mbelemba ‘Side wa Kitonga’ anasema kuna wakati anapata wakati mgumu anapokutana na baadhi ya wapenzi wa kazi zao kupitia Televisheni hasa pale ambapo uamini kuwa matukio yaonyeshwayo ni halisi.
(more…)

filed under: Habari

SARAH ALIA NA BODI YA FILAMU KWA UPENDELEO!

Sarah Nyika

Sarah Nyika mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI wa filamu wa kike Sarah Nyika afungukia kufungiwa filamu yake ijulikanayo kwa jina la Imebuma kuwa ni upendeleo unaofanywa na Bodi ya Ukaguzi wa filamu kwa watayarishaji Chipukizi na badala yake kupendelea filamu za wasanii au watayarishaji wenye majina makubwa.
(more…)

filed under: Habari

BONGO PAMEBANA SANA BORA KENYA–DUMBA

Issa Mndeme

Dumba mwigizaji wa filamu Swahilihood.

MWIGIZAJI wa filamu Bongo Issa Mndeme ‘Dumba’ anasema kuwa sanaa kwa sasa haiangalii ubora wa kazi baada ya hali ya kazi za filamu kuwa ngumu hivyo mtayarishaji inatakiwa aangalie soko nje ya mipaka ya Tanzania ukilenga kuuza hapa utafeli tu.
(more…)

filed under: Habari

WASANII BONGO MOVIE WANAHITAJI USIMAMIZI -LAMATA

Leah Mwendamseke

Lamata muongozaji wa filamu Swahilihood.

MUONGOZAJI mahiri wa filamu Bongo Leah Mwendamseke ‘Lamata’ anaamini kuwa hakuna msanii wa filamu anayeweza kusimama katika tasnia bila kuwa na usimamizi kutoka kwa menejimenti inayojishughulisha na masuala ya filamu tena yenye ndoto za kimataifa.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook