UNCLE CHRISS MHENGA CHIMBUKO BONGO MOVIE SWAHILIHOOD sehemu ya 1

Chrissant Mhenga

CHRISS MHENGA Muasisi na muongozaji wa kundi la Kaole Sanaa Group.

UNAPOONGELEA tasnia ya filamu Bongo ni lazima uanzie kwenye michezo ya kuigiza kwani wanaong’ara na kufanya vizuri asilimia kubwa walikuwa ni waigizaji kutoka katika kundi la Kaole Sanaa Group, lakini si wengi ambao wanamtambua muasisi na mzalishaji wa vipaji hivyo huyu si mwingine ni Chrissant Mhenga.
(more…)

filed under: Habari

FILAMU YA KISOGO YA GABO KURUKA DUNIA NZIMA

Salim Ahmed

Gabo Mwigizaji wa filamu Swahilihood.

FILAMU ya Kisogo ya mwuigizaji nyota Bongo imekamilika na inatarajia kuonekana Dunia kote kwa njia ya kisasa kabisa akiongea na FC Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ anasema kuwa sinema ya Kisogo imetengenezwa katika teknolojia ya kimataifa na hivyo itaweza kubadilisha soko la filamu Bongo na kuweza kufika katika anga za kimataifa kwani ni kazi yenye mvuto na hadithi ya kusisimua huku akijivuani washiriki wa sinema hiyo ya Kisogo. (more…)

filed under: Habari

UBINAFSI NDIO KIFO CHA TASNIA YA FILAMU TANZANIA – MKINDI

Bongo Movie

Wasanii wa Filamu Swahilihood wakiandamana

Na Ignas Mkindi
HARAKATI za kupigania tasnia ya filamu Tanzania zinazidi kuchukua sura mpya kila uchwao kutokana na siri iliyopo nyuma ya wale ambao wanakuwa mbele ya harakati hizi ambao inaonekana mara zote wanahitaji makundi ili kufanikisha maslahi yao, kila mtu amekuwa Adui wa Yule anayeonekana kuwa na mawazo chanya dhidi ya harakati hizi.
(more…)

filed under: Habari

SITEGEMEI MWANAUME KUFANYA KAZI ZANGU- AISHA

Aisha Bui

Aisha Bui mwigizaji wa Filamu Swahilihood

AISHA Bui mwigizaji wa filamu wa kike Swahilihood amefunguka kwa kusema kuwa yeye katika kuandaa kazi zake za filamu hakuna mchango wowote anaotegemea kutoka kwa mwanaume bali ni kazi ya jasho lake hawezi kuandaa sinema yake na kusubiri hela kutoka kwa Pedeje.
(more…)

filed under: Habari

NAPENDA MWANAUME MWENYE MKWANJA TU -AISHA!

Rachel Bitulo

Rachel Bitulo mwigizaji wa filamu Swahilihood

MSANII wa kike wa filamu Bongo Rachel Bitulo amejiachia kwa kunena lake la moyoni kuwa anampenda mwanaume mwenye fedha nyingi na si mwanaume asiye na pesa kwani yeye kama mwigizaji nyota ana mahitaji mengi ambayo anataka kutimiziwa kutoka kwa mtu atakayekuwa mumewe.
(more…)

filed under: Habari

WAKONTA APATA KIFAA MAALUM CHA KUANDIKIA

Wakonta Kapunda

Wakonta mwandishi wa Script Swahilihood

MWANDISHI wa muswada (Script) mahiri Wakonta Kapunda amesema kuwa anafurahia kila siku zinavyosongea anazidi kupata unafuu wa kuandika kwani hivi sasa kuna rafiki yake ambaye amempatia kifaa maalum kinachomezesha kuandika kazi zake kwa kutumia kifaa hicho toafauti na awali alikuwa akitumia ulimi.
(more…)

filed under: Habari

AMANDA HATISHIKI NA MANENO YA WATU HAUMWI NI MAZOEZI TU!

Amanda Poshy

Amanda mwigizaji wa filamu Swahilihood .

MWIGIZAJI wa kike wa filamu Bongo Amanda Poshi amefunguka kwa kusema yupo salama kabisa kiafya wala hana tatizo lolote kutokana na muonekano wake kupungua kwake kutokana na mazoezi anayofanya kwa ajili ya afya yake anashangaa wale ambao wanamshangaa kupungua mwili wake. (more…)

filed under: Habari

WASANII WAKONGWE WAMETUHARIBIA- SHIFFER

Sharifa Mansoor

Shiffer Mwigizaji wa filamu Swahilihood

MWIGIZAJI chipukizi kutoka tamthilia ya Siri za familia Sharifa Mansoor ‘Shiffer’ amesema kuwa uigizaji ni kazi sawa na kazi nyingine lakini walioanza walitumia fursa yao vibaya kwa kufanya mambo yasiyofaa kujikita katika masuala ya kashifa kitu kilichopelekea jamii kudharau fani hiyo. (more…)

filed under: Habari

BONGO MOVIE FULL KUTISHANA TICO ATUMIWA SMS ZA MIKWARA

Timoth Conrad

Tico mtayarishaji wa filamu Swahilihood

KUFUATIA kuyumba kwa soko la filamu na kufanyika kwa mikakati mbalimbali ya kutafuta suruhu la kuokoa soko hilo lilopotezwa na filamu za nje, sasa wasanii na watayarishaji wameanza kutishana wao kwa wao ikiwa kuambiana watafapotezana katika tasnia ya filamu. (more…)

filed under: Habari

NATAKA MUME ATAYENISIKILIZA SITAKI MAPEPE- SONNATA

Sonnata Nduka

Sonnata Nduka mwigizaji wa filamu Swahilihood

SONNATA Nduka mwigizaji wa filamu na mhariri wa filamu Bongo amedai kuwa moja ya sababu inayomfanya achelewe kuingia katika ndoa ni kupata mume ambaye atakuwa anamsikiliza kufanya kazi zake bila kuingiliwa kwa kuzuiwa au kupangiwa muda kufanya kazi yake ya uigizaji .
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook