NINA MVUTO BONGO MOVIE WAJIPANGE- PRETTY KIND

Susan Michael

Pretty Kind muigizaji wa filamu Swahilihood.

MSANII chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo Susan Michael ‘Pretty Kind’ ametamba kwa kuwaeleza kuwa wasanii wa kike wajipange kwani amefungua mwaka kwa kuingia katika tasnia hiyo akiwa na vitu muhimu ambavyo anaamini atawafunika na kuwa muigizaji wa kike pekee mwenye mvuto na muigizaji bora.
(more…)

filed under: Habari

KWA HERI MWAKA 2017 KARIBU 2018 BONGO MOVIE

Dogo Janja, Irene Uwoya

Dogo Janja na Irene Uwoya muigizaji wa filamu Swahilihood.

MWAKA 2017 umekatika tukisubiria mwaka mpya 2018 zikiwa zimebaki siku kadhaa tasnia ya filamu kama ilivyo sekta nyingine ambazo zilikuwa na matukio ya kukumbukwa na kuagwa kwa kuukaribisha mwaka 2018 kwa matukio mapya katika ukuzaji wa tasnia ya filamu Swahilihood kwa waliojifunza wamejifunza na wale waliopoteza ni vema kujipanga kwa mwaka 2018.
(more…)

filed under: Habari

SIDE WA KITONGA MSIMU MPYA NI NOMA- NAOMI

Naomi Chuwa

Naomi mchekeshaji na muigizaji wa filamu Swahilihood.

Ujio wa msimu mpya wa simulizi za kusisimua za Side wa kitonga ambayo uruka katika luninga ya E tv zinatarajia kuwa kubwa sana kutokana na mwitikio wa watazamaji na watayarishaji kupokea maoni yao na kuyafanyia kazi mmoja kati ya washiriki wa kundi hilo mwenye uchu wa kuwa muigizaji na mchekeshaji wa kimataifa nao amebainisha hilo.
(more…)

filed under: Habari

SHAMSA FORD BADO MREMBO!

shamsa Ford

Shamsa Ford muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI wa filamu Bongo movie Shamsa Ford katoa mpya pale aliposema kuwa bado yu ngali kijana kwani akijiangalia uso wake bado na sura yake ina mvuto na kumuweka katika makundi ya wadada wadogo kabisa, anafurahia kwa muonekano huo ambao anahisi hakimbizani na uzee akijiangalia uso wake.
(more…)

filed under: Habari

UKINITUKANA PIGA MAGOTI USALI- MONALISA

Yvonne Cherryl

Monalisa muigizaji wa filamu Swahilihood.

MUIGIZAJI asiyechuja kutoka Bongo movie Yvonne Cherryl ‘Monalisa’ anasema kuwa anakutana na changamoto ya kutusiwa na hata watu ambao hawamjui wala yeye pia hana mahusiano nao awali ilikuwa ikimsumbua lakini kwa sasa anaamini kuwa watu wa namna hiyo si wa kuwalaumu inawezekana wana msongo wa mawazo.
(more…)

filed under: Habari

NIPO TAYARI KWA AJILI YA MWAKANI – GABO

Salim Ahmed

Gabo Zigamba muigizaji wa filamu Bongo.

SALIM Ahmed ‘Gabo Zigamba’ amejipanga kwa ajili ya mwakani kuja kivingine anasema amekuwa akipata maombi mengi na maoni kutoka kwa wapenzi wa kazi zake kuwa mbona haonekani katika filamu mpya lakini kwake ilikuwa ni vema kujipanga na kuja na kitu tofauti ili mashabiki zake wafurahie kazi zake.
(more…)

filed under: Habari

UZINDUZI WA FILAMU YA TATU CHAFU NI JUMAMOSI DAR LIVE MBAGALA!

Tatu chafu film

Filamu ya Tatu Chafu kutoka Swahilihood.

FILAMU ya Tatu Chafu inataraji kuteka viunga vya Dar es salaam pale itakapoonyeshwa kwa mara ya kwanza katika ukumbi wa burudani Dar Live uliopo mitaa ya Mbagala siku ya Jumamosi tarehe 16. December.2017 kuanzia mida ya saa nne asubuhi huku michezo ya watoto wakicheza michezo mbalimbali kabla ya movie kuruka.
(more…)

filed under: Habari

SITAKI KUTESEKA MIYE – ROSE NDAUKA

Rose Ndauka

Rose Ndauka muigizaji wa filamu Swahilihood.

ROSE Ndauka muigizaji wa filamu Bongo anasema kuwa maisha yana nafasi kubwa kwa mwanadamu na unaposhindwa kufanya hivyo lolote linaweza kutokea, endapo kuna jambo unalifanya kama ni sehemu ya kujitatua kimaisha na ugumu kutokea ni kubadilika na kuangalia njia nyingine itakayokusaidia.
(more…)

filed under: Habari

PASTOR MYAMBA ANATOA MAPEPO KANISANI KWAKE KIGAMBONI

Emmanuel Myamba

Pastor Myamba muigizaji wa filamu Swahilihood.

HISTORIA ya tasnia ya filamu imekuwa ikiendana na uhalisia wa waigizaji katika kujenga uhusika na kuwa ndio maisha halisi, ukiona muigizaji anaigiza mtu wa kaleti itakuwa hivyo, hilo linajitokeza kwa Emmanuel Myamba ‘Pastor Myamba’ ambaye naye kwa sasa pamoja na kumiliki chuo cha Sanaa sasa anamiliki kanisa lake Kigamboni.
(more…)

filed under: Habari

SIPENDI UNENE UNACHUKIZA- AUNTY EZEKIEL

Aunty Ezekiel

Aunty Ezekile muigizaji wa filamu

MUIGIZAJI wa kike Swahilihood Aunty Ezekiel amedai kuwa moja ya vitu vinavyomkera ni suala la unene kwani hapendi kuonekana katika hali ya unene inavyotokea hivyo akijiangalia ujichukia anavyojiangalia katika kioo ikitokea hivyo uamua kufanya kitu kinachomfanya apungue na awe katika muonekano wa kawaida.
(more…)

filed under: Habari
Home | About us | Contact us| Privacy Policy | Terms of use | Copyright © 2010 swahili hood portal . All rights reserved.
  • Facebook